Showing posts with label Zilizovuja. Show all posts
Showing posts with label Zilizovuja. Show all posts

Zitto: Millioni 50 za Magufuli Kila Kijiji ni zinachangamoto kubwa Kwa Wananchi.

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, amesema Serikali ya Awamu ya Tano imewahadaa wananchi kuhusu kuwapa ...
Read More

Mchakato wa kukikabidhi ccm,mikononi mwa mzee wa kazii mhe; Raisi Magufuli umeanza

K amati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inatarajiwa kukutana kesho mjini Dodoma.   Chanzo cha kuaminika kime dokeza kuwa p...
Read More

Rais Joseph Kabila Amfukuza Kazi Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano Enock Ruberangabo Kwa Kosa la Kupiga Punyeto Ofisini

Rais Jamhuri wa Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila amemtimua kazi Naibu Waziri wa Posta na Mawasiliano kutokana na kusambaa kwa video ...
Read More

Monday, May 2, 2016 Rais Magufuli Aagiza Askari wa Usalama Barabarani Aliyetukanwa na Mke wa Waziri Apandishwe Cheo

Rais John Magufuli ameagiza Koplo Deogratius Mbango kupandishwa cheo baada ya kumdhibiti mke wa waziri mmoja wa Serikali yake aliyepamb...
Read More

Prof. Lipumba Apongeza Mipango ya Rais Magufuli

Mwanasiasa mkongwe ambaye pia ni mtaalamu wa masuala ya uchumi nchini Profesa Ibrahimu Lipumba amesema anaunga mkono mpango ...
Read More