Mkuu wa Mkoa Paul Makonda leo Ametembelea katika ofisi za msanii Diamond, Diamond kazungumza Haya


From @diamondplatnumz - Shukran sana sana Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam @PaulMakonda kwa kututembelea katika Office zetu za @Wcb_Wasafi jana usiku.... ujio wako Umetutia nguvu na Moyo mkubwa katika ufanisi wa kazi zetu.... Hakika wewe ni kiongozi wa pekee....Tunashkuru kwa Ushauri, muongozo wako mzuri na Muda wako wa thamani ulioupendekeza kwetu Jana!... ijapokuwa kaofisi ketu ndio kanaanza ila naamini uliona tunavyo hakikisha kudhibiti na kuzingatia USAFI Kuanzia Ofisini hadi Maeneo yatuzungukayo kama Mh Rais John Pombe na wewe Mlivyoagiza
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: