Nampenda Harmonize amenipa furaha – Jacqueline Wolper
Jacqueline
Wolper anataka ulimwengu ujue kuwa penzi lake na Harmonize ni real
tofauti na mashaka ya wengi kuwa wawili hao wanatafuta kiki tu.
Muigizaji
huyo ametumia Instagram kueleza ni kiasi gani anampenda msanii huyo wa
WCB na kwamba maneno ya watu hayamuumizi kichwa.
“Kuna
kitu naamini ni kweli hata ukakipima vipi… Watu hawahitaji maelezo…
Wanaukupenda hawana kazi nayo na wanaokuchukia hawatakuamini
Ndo
mana unashauriwa dont explain yourself… Cause in the end people who
love you dont need it and people who hate you won’t believe it,”
ameandika kwenye Instagram.
“Cha maana ni una
amani na una furaha.. Hakuna anaejua mapito yako usiku na kuna muda
hakuna anaejua kwanini unafanya baadhi ya vitu unavyofanya. Truth is
kama wewe unavyoishi ndivyo na mimi ninavyoishi.. Kama wewe unavyopima
kabla ya kutenda na mimi nafanya ivyo
Na trust me ukiona Nimefanya jambo ujue ndilo chagua langu na nina sababu zaidi ya kila jambo lingine,” ameongeza.
“I love Raj and am happy
For
any girl who knows about love au ameshawahi kupenda anaelewa namanisha
nini. Na truth is i am maybe a little excited but dont we all when we
found someone so amazing?? Nina furaha isiyoelezekaThe kind ambayo
ukitoka gerezani ndo unahisi
Nimekua huru.. Mwenye amani… Na
ukweli ni kuna muda najifkiria naishia kucheka mwenyewe God had ways to
turn things around.. Even when the whole world wakiamini tofauti
If
he says this is it and YES. Basi itakua YES TU wao wajipe sababu tu..
Waponde wee.. Washauri wee … Wazodoe hadi wapasuke.. As long as usiku
nikiwa nalala nina amani na mchana wakati natembea nina furaha
ITS ALL WORTH IT.”:
ITS ALL WORTH IT.”:
0 comments:
Post a Comment