Huyu Ndiye Mke wa Waziri Aliyekuwa ATCL, Aliye amua kuacha kazi baada ya kauli ya MH Magufuli


 Swala hili limezua utata na maswali mbali mbali miongoni mwa watu,
Je yeye ni sababu ya ATCL kushindwa kujiendesha? sidhani kufanya kazi ATCL kama mke wa waziri ni kosa labda kama hana sifa inayotakiwa kuajiriwa then itakuwa ni jipu hilo!!!!!!
Au ipitishwe sheria wake za mawaziri wasiruhusiwe kufanya kazi serikalini...
Toa maoni yako..
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: