Video mpya ya Darassa ‘Too much’ Shilole, Lina na wengine ndani….


Rapper kutoka Bongoflevani, Darassa anayetamba na wimbo uitwao Kama  Utanipenda aliyomshirikisha Rich Mavoko , sasa leo  July 16, 2016 ameachia rasmi video yake mpya iitwayo Too Much imetayarishwa na director Hanscana.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: