VIDEO:Rais Magufuli na maamuzi yake siku ya mei mosi 2016 mjini Dodoma

Mei 1 2016 Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi (MEI MOSI) yamefanyika kitaifa mkoani Dodoma na mgeni rasmi alikuwa Rais John Pombe Magufuli, Chama cha Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) kilipata nafasi ya kumweleza Rais Changamoto mbalimbali katika kazi ikiwemo ufinyu wa mapato.  Katika hotuba yake Rais Magufuli amesemasema ‘Katika nchi hii wapo watu wanapata mishahara ya chini sana lakini kuna watu pia wanapata mishahara mikubwa sanaa!! kazi zinafanywa na watu wa chini, wao wanapata mishahara mikubwa‘  ‘Wale waliokuwa wanapata mishahara mikubwa itakuwa mwisho Milioni 15 kushuka chini ili hizi nyingine tuwasaidie wanaopata mishahara midogo‘  ‘Tanzania hii ni yetu wote, wasiotaka kufanya kazi kwasababu wamezoea mishahara ya milioni 30 waache kazi hata leo, haiwezekani katika nchi moja mtu anapata mshahara wa milioni 30 alafu mwingine anapata laki tatu ‘

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: