Kuanzia kesho watakuwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga kutoa tiba bure kwa watoto kuanzia saa tatu asubuhi na kuendelea, kama una ndugu yako au yeyote mwenye Watoto wa aina hii inabidi waletwe kupata hii tiba bure ambayo imegharimiwa kwa asilimia 100% na GSM Foundation.
GSM Foundation wamegharamia kila kitu na kuzungusha madaktari bingwa Tanzania kutoa tiba hizi bure kabisa
Kuanzia kesho watakuwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga kutoa tiba bure kwa watoto kuanzia saa tatu asubuhi na kuendelea, kama una ndugu yako au yeyote mwenye Watoto wa aina hii inabidi waletwe kupata hii tiba bure ambayo imegharimiwa kwa asilimia 100% na GSM Foundation.
0 comments:
Post a Comment