Mahakama ya Kisutu imeagiza kukamatwa meya wa Kinondoni, kisa?

Mei 2 2016 Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imetoa maamuzi ambayo yameingia kwenye headlines, baada ya kuamua kutoa hati ya kutaka mikono ya sheria imkamate meya wa Kinondoni Boniface Jacob kutokana na kushindwa kufika mahakamani.
Boniface Jacob anatuhumiwa kumpiga mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru Christopher Lissa na kumsababishia maumivu makali, hiyo ni kwa mujibu wa habari ambazo nimezipata lakini ninaendelea kuzifuatilia kwa kina na kuweza kumpata meya huyo wa Kinondoni.
tmp_16881-02-1606006613
Boniface Jacob
CHANZO CHA HII STORI: ISSAMICHUZI
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: