HOFU KUBWA YA TANDA JUU YA KUINGIA KWA UGONJWA WA EBORA CHINI TANZANIA


https://sebialy.blogspot.com/
https://sebialy.blogspot.com/

Hofu kubwa sana imelikumba taifa la Tanzania na raia wote juu ya hatar kubwa ya kuingia kwa gonjwa hatari la mlipuko maarufu kama EBORA
Wizara ya afya imeanza juhudi za kuzuia adha hii kwa kuanza na mikoa 9. (tisa) .Pamoja na wageni kutoka chi jirani.KONGO NA ZAMBIA/
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu May 29, 2017 amekutana na Waandishi wa Habari DSM ambapo amezungumzia kuhusu ugonjwa wa EBOLA ambao umekuwa tishio katika nchi za Afrika akisema hakuna mtu aliyegundulika kuwa na ugonjwa huo hapa Tanzania.
Ili kuhakikisha ugonjwa huo hauingii nchini Waziri Ummy amesema Serikali imeanza kusambaza vifaa maalum vya kupimia ugonjwa huo sehemu zote za mipaka ya nchi na Viwanja vyote vya Ndege Tanzania akiitaja pia Mikoa Tisa ambayo imetakiwa kuchukua hatua kukabiliana na Ebola.
Hivi karibuni Shirika la Afya Duniani WHO liliripoti kuwepo mlipuko wa EBOLA katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hasa katika jimbo linalopakana na Jamhuri ya Afrika ya Kati
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: