Haya Hapa Majina ya Wanafunzi Wahitimu Wa Kidato Cha Sita (6) Waliochaguliwa Kwenda Mafunzo JKT May 2017


Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limefanikiwa kuchagua vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita mwaka 2017 kutoka Shule zote za Tanzania Bara ambao watahudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria.
 JKT imepangia Makambi kwa wanafunzi hao ambako huko watapatiwa mafunzo kwa muda wa miezi mitatu wakitakiwa kuripoti kuanzia May 25 – 30 2017.

BOFYA HAPA KUTAZAMA  
 
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: