VIDEO;Chelsea Imefanikiwa Kuutwaa ubingwa wa Premier League,{video ya magori na mchezo mzima}


.








 
Batshuayi alifunga bao hilo zikiwa zimesalia dakika nane mchezo kumalizika katika mchezo ambao Chelsea ilihitaji ushindi ili kutwaa ubingwa wa EPL ikifikisha point 87 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote ikibakiwa na michezo miwili kumaliza ligi
Kwa kutwaa ushindi huo, Chelsea chini Antonio Conte imeweka rekodi ya kuwa klabu ya pili kutwaa ubingwa wa EPL mara nyingi ambapo imetwaa mata tano nyuma ya Manchester United iliyotwaa mara 13. 

WHATCH HERE

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: