Serikali imepeleka wataalamu wa Jiolojia katika eneo lililokumbwa na
tetemeko Bukoba ili wakafanye utafiti wa kina kuhusu tetemeko hilo.
Imesema tetemeko limetokana na misuguano ya mapande makubwa ya ardhi
iliyopasuliwa na mipasuko ya ardhi mithili ya mipasuko kwenye bonde la
ufa.
0 comments:
Post a Comment