*Paraffin wax
*Sterine
*Boric Acis
*mould(maumbo)
*uzi
*Rangi(ukipenda)
*Perfume(ukipenda)
*Jiko
*Sufuria
MAADALIZI;
a)Andaa maumbo(mould)ya mshumaa kwa jinsi upendavyo ww kwa ubunifu wako.
b)Kuandaa utambi;
KUTENGENEZA MSHUMAA
Baada ya kuwa umeaandaa maumbo yako ya mshumaa(mould)chukua utambi wako weka katikati ya chombo chako kwa kushikiza na ute wa mshumaa,funga utambi wako juu ya chombo kwa kijiti hii itakusaidia utambi wako usikae pembeni.
Washa jiko lako na,weka sururia jikoni chukua Paraffin wax kilo 1,sterin vijko 4, rangi na ikifuatiwa Perfume kijiko 1(rangi na perfume kama ukipenda)wakati mchanganyiko wako unayeyuka koroga taratibu kuhakikisha mchanganyiko wako umechanganyika vizuri,
NYONGEZA;
SIMPRONELA ;
hii ni perfume na pia ni dawa ya kuua mbu,waweza kuweka kwenye mchangantiko wako wa mshumaa ili kuboresha bidhaa yako na kuwavutia watumiaji/wateja wengi
0 comments:
Post a Comment