Msako Watangazwa, MH,makonda atangaza Msako wa Nyumba Kwa Nyumba Kuwabaini Wasio na Kazi Maalum



Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ametangaza msako wa nyumba kwa nyumba kuwabaini wakazi wa Dar wasiokuwa na Kazi maalum za kufanya.

Amesema Jeshi la Polisi litaanza msako huo wakati wowote na ameomba ushirikiano wa viongozi wa Serikali za Mitaa, viongozi ambao hawatatoa ushirikiano watakamatwa na kutiwa nguvuni.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: