Baraza
 la Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini, limekifutia usajili wake wa kutoa
 huduma za kitabu, Kituo cha Tiba Asilia cha ForePlan Kliniki kilichopo 
Ilala Bungoni jijini Dar es salaam, kinachomilikiwa na Dkt. Juma Mwaka 
maarufu kama Dkt. Mwaka, kwa madai kuwa kimekiuka taratibu za kitabu za 
tiba mbadala.
Hayo
 yamesemwa leo na Mwenyekiti wa Baraza hilo, Dkt. Edmund Kayombo 
alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, kwenye Ukumbi wa Wizara ya
 Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

0 comments:
Post a Comment