Kumekuwa na taarifa ambazo zimeripotiwa na moja gazeti leo July 15 1016 likidai kuwa aliyekuwa spika wa bunge la tisa Samuel Sitta, kuondolewa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi baada ya serikali kugoma kulipia kodi ya pango. AyoTV imempata Samuel Sitta ili kueleza usahihi wa taarifa hizo ambapo amesema……..
’hakuna
ukweli wowote kusema mimi nimeondolewa katika nyumba, ina maana gani
kuwa katika nyumba wakati mimi sina cheo serikalini, tangu mwaka jana
wakati naandaa makazi mengine nilikuwa najilipia pango mwenyewe baada ya
hapo mimi nimehama mwenyewe hakuna suala la kuhamishwa‘
0 comments:
Post a Comment