Yeye anapenda kuviita vibanda,leo tena amekamilisha manunuzi ya nyumba 
nyingine maeneo ya kunduchi kupitia Dalali mwanamkee.....Naona Diamond 
kila akimsainisha msanii katika lebo yake laZima aongeze na nyumba
Je kuna haja ya kumchukia Diamond kama wengine wapo bize kubadiri mademu yeye yupo bize na nyumba
Je kuna haja ya kumchukia Diamond kama wengine wapo bize kubadiri mademu yeye yupo bize na nyumba

0 comments:
Post a Comment