TAARIFA KWA UMMA
Tunaujulisha UMMA kwamba Kiongozi wa Chama chetu cha ACT Wazalendo 
ndg. Zitto Kabwe amekuwa anatafutwa na Polisi tangu jana usiku.
Mpaka 
sasa hatujui Kiongozi wetu yupo wapi na yupo kwenye Hali gani. Askari 
kanzu wanalinda nyumbani kwake na kwa watu wake wa karibu. 
Sisi kama 
chama tunaliambia jeshi la Polisi kuwa lolote litakalotokea kwa Kiongozi
 wetu wao watajibu kwa umma.
Msafiri Mtemelwa, 
Kaimu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo
Kaimu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo


0 comments:
Post a Comment