VideoMPYA: Yemi Alade ft Mr Flavour ‘Kom Kom’ imeachiwa leo May 18 2016

May 18 2016 tv nyingi za Afrika zilipata nafasi ya kupiga au kuonesha video mpya ya mrembo kutoka Nigeria Yemi Alade akiwa kamshirikisha mkali mwingine kutoka Nigeria Mr Flavour, Yemi Alade ameachia video  mpya  inaitwaenjoy video hiyo hapa na kudownload.
‘Kom Kom’

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: