Shetta amekua mwaminifu sana kwani ametimiza ahadi ya kutupa video yake mpya inayoambatana na ujio wake mpya,kazi hii imefanywa na director
Nic Roux aliyehusika kwenye utengenezaji wa video kadhaa ikiwemo ya
AKA ft Diamond Platnumz –
Make me sing, Harmonize ft Diamond Platnumz –
Bado na video ya kundi la
Mavins ‘Dorobucci’
video na wimbo wenyewe upo vip? Shetta atapenda sana kusoma maoni yako hapa chini
mtu wangu,
0 comments:
Post a Comment