Inawezekana uliwahi kumsikia msanii wa
bongofleva Nay wa Mitego akisema kuwa hatokwenda kufanya video South
Africa lakini ikitokea akaenda hiyo video itakua moto…. ndio hii
katuletea hapa chini itazame kisha usiache kutuachia comment yako mtu wa
nguvu ili akipita Nay pia ajue watu wake wameipokeaje.
0 comments:
Post a Comment