Ndugu Wilson Kabwe, aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar na baadae
kusimamishwa kazi mwanzoni mwa mwezi Mei, amefariki dunia.
Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la Kigamboni
(Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana, ila tangu awali inadaiwa alikuwa
kalazwa India akipatiwa matibabu.
0 comments:
Post a Comment