Picha mbali mbali jinsi Mafikizolo na Diamond Platinum's Walivyopagawisha mbaaya katika Tamasha La Vodacom Chuo Kikuu cha Dodoma


Mwanamuziki “Diamond Platinum’s” pamoja na Mafikizolo wakiimba wimbo wao wa Color of Afrika wakati wa Tamasha la Vodacom Kichuo zaidi lillilofanyika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
Mwanamuziki “Diamond Platinum’s” akiwaimbia kwa hisia zote mashabiki wake waliovunja rekodi zake mbalimbali,Tamasha la Vodacom Kichuo zaidi lillilofanyika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) jana.
Nyomi ya  mashabiki wa muziki waliofika kwenye Tamasha la Vodacom Kichuo zaidi lillilofanyika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
Msanii wa muziki wa kundi la Mafikizolo,Theo  Kgosinkwe  akionyesha jinsi alivyo noma katika kucheza muziki  katika Tamasha la Vodacom kichuo zaidi lililofanyika  chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) jana

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: