Kama Ulikua Hujui Basi Hili ndio jina la mtoto wa Ben Pol

Hivi karibuni tuliandika kuhusu Ben Pol kuwa baba kimya kimya. 
Ben
Na sasa amezungumza na U Heard ya Clouds FM na kudai kuwa hajapenda kumweka mwanae kwenye Instagram kama wengi walivyotarajia kwasababu anataka kumwacha aje aamue mwenyewe akiwa mkubwa. 
Amesema hana uhakika kama mtoto wake akija kuwa mkubwa iwapo atapenda kuona wazazi wake wamwemwanika sana kwenye mitandao ya kijamii.
Amelitaja jina la mtoto wake huyo wa kiume kuwa ni Mali Benard. Mali ana umri wa mwezi mmoja sasa.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: