Habari kubwa kwenye TV za Tanzania April 26 2016 Unknown April 26, 2016 Habari Edit Kama utakua ni mpenzi wa kutazama taarifa ya habari na hukupata time ya kutazama taarifa ya Habari ya April 25 2016 kupitia TV za Tanzania usijali millardayo.com imekurekodia habari 10 kupitia TV za Tanzania. Habari kutoka Clouds TV…Matukio yaUbakaji Yamekithiri Vitendo vya ukatili wa kijinsia hasa kwa matukio ya ubakaji yameendelea kushamiri katika maeneo mbalimbali nchini ‘Alikuwa ananitishia kisu ndio alipokuwa amenizidi nguvu na mimi sikuwa na kitu cha kumfanya ndioa alipofanikiwa kunifanya hicho kitendo cha kunibaka‘>>>Mtoto Habari kutoka Clouds TV…Hofu ya Matibabu ya Selimundu Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imewatoa hofu watanzania juu ya taarifa zinazoenezwa kuwa wamesitisha huduma ya matibabu kwa wagonjwa wa Selimundu, ‘Natuna imani kuwa wale wote wanasambaza taarifa hizi ya kwamba huduma hizi zimesitishwa wanamaslahi yao binafsi juu ya wagonjwa hawa‘>>>Kaimu Mkurugenzi Prof Laurence Maseru Habari kutoa ITV…Athari za Mvua Watu 7 wafariki Mkoani Kilimanjaro baada ya kuangukiwa na nyumba, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro amethibitisha kutokea kwa tukio hilo Wilbroad Mutafunga Habari kutoka ITV...ACT ACT Wazalendo ya unga mkono utumbuaji majipu katiaka Serikali ya awamu ya tano ‘Bado Rais anapapasa swala la Ufisadi kuna mambo ya muda mrefu ambayo kama nchi tunaendelea kuyalipia na Rais ameyakalia kimya kwa mfano swala la IPTL‘>>>Zitto Kabwe Habari kutoka ITV…Ajali Watu watano wanusurika kifo katika ajali ya malori Wilayani Ngara ‘Rai yangu mimi kama Mkuu wa Wilaya ya Ngara ni kwamaba badala ya kuendeleza kuekeza katika vyomba vya zima moto mkoani nafikiri tunatakiwa tuishahuri serikali‘>>>Honoratha Kihanda Habari kutoka Star TV… Deni la Taifa Ripoti ya CAG yaonyesha kuongozeka kwa asilimia 7.05 ‘Yani Serikali inatoa mishahara na mishahara inapitia benki na inakaa baada ya siku kumi na nne inarudishwa hazina hii ni mishahara ambayo haijarudishwa hazina mpaka sasa inafikia bilioni 2 mpaka sasa hivi, Serikali kuu ni biloni 2 na Serikali za mitaa ni bilioni 3‘>>>Pro Mussa Assad Habari kutoka Star TV…Vitendo vya Ubakaji, Ulawiti Wanawake Babati waandamana kupinga vitendo vya unanyanyasaji, hadi sasa tumewapoteza kina mama wasiopungua watatu na kulawatiwa kwa kijana mmoja ‘Nimeshamuagiza OCD kuanzia leo wanaanza operation kali yakuhakisha nyumba zote wanazo pika gongo na mitambo yake kuzibitiwa‘>>>Chrispin Meela Mkuu wa Wilaya ya Babati Vichwaa vya Habari kutoka Azam TWO…Samia Atetea Hoja ya Magufuli Vichwa vya Habari kutoka Azam TWO…China Kujenga Reli Tanzania Vichwa vya HabariChannel 1o...Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Vichwa vya HabariChannel 1o…Mgogoro Kijiji cha Makao-Meatu Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Unknown RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment