Birdman anakuja na filamu ya wasanii wa Cash Money
Cash Money inakuja kwenye tv yako na filamu kubwa kuhusu maisha ya wasanii wa lebel hio pamoja na Birdman na Slim walivyoanzisha lebel hio.
Birdman amehamasika kufanya hivi kutokana na ukubwa wa filamu ya Dr. Dre na Ice Cube ya Straight Outta Compton, ujio wa filamu ya All Eyez On Me ya maisha ya Tupac.
0 comments:
Post a Comment