Huku kikiwa ni Kipindi  Tunaisubiri sana video ya Diamond Platnumz akiwashirikisha P Square, WCB wameamua kuachia video mpya ya Harmonize, video inaitwa Matatizo, Sikiliza na kuipakua hapa chini