Masikini wa mungu dada Lady Jay Dee Azalilisha Hadharani..ITAZAME hii Video hapa



Wikiendi iliyoisha imesambaa video mtandaoni ikimuonesha mtangazaji huyo akiongea kwenye tamasha alilokuwa mshereheshaji: "My name is Captain Gardner G Habash all the way from Clouds FM, Jahazi hatari sana. Na sina neno na yule mtoto wa kike. Nimeshamkojoza kwa miaka kama 15 hivi.”

Video hiyo imesababisha hasira kubwa kwa mashabiki wa Jaydee na watu wengi kwa ujumla.

Itazame Hapa chini:
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: